Imewekwa: March 3rd, 2019
Na Geofrey A.Kazaula
Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imeendelea kuboresha huduma za misitu na mazingira kwa kusimamia zoezi la uoteshaji wa miti na kuwapatia wananchi kwa ajili ya kupanda...
Imewekwa: February 28th, 2019
Na, Geofrey A .Kazaula
Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe inaendelea na zoezi la chanjo ya ng’ombe ili kutoa kinga kwa magonjwa ya Chambavu na Kimeta.
Chanjo ya mifugo inayoendelea inaendesh...
Imewekwa: February 12th, 2019
Na, Geofrey Archard Kazaula
Wananchi Wilayani Karagwe wame endelea kupatiwa elimu juu ya kutokomeza uvuvi haramu kwa lengo la kuwa na uvuvi endelevu usio kiuka sheria.
Akizungumza na...