• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Elimu, Afya na Maji

KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI:

Kamati hii hushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma na maji. Kamati hii hushughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi vjijini ili kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.

Majukumu ya Kamati hii ni kama ifuatavyo:

  • Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati.
  • Kuandaa mipango ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya Mwaka 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.
  • Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo, viwanja, majengo, na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo.
  • Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali zenye sura nzuri.
  • Kuamua na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287.
  • Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonyesho kwa mujibu wa Sheria za Serikali za Mitaa Sura ya 287.
  • Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya taifa.
  • Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa.
  • Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mtoto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo.
  • Kuweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za Elimu na Afya.
  • Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya mlipuko.
  • Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III May 02, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • TANGAZO KWA WANANCHI WOTE 01 March 14, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA UKUSANYAJI WA TAARIFA ZA ANWANI YA MAKAZI NA POSTIKODI HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE March 14, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MATANGAZO YA TBC KUBORESHWA WILAYANI KARAGWE.

    August 14, 2021
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE YAUNDA JUKWAA LA MKAKATI WA USIMAMIZI WA MAZAO BAADA YA KUVUNA.

    August 12, 2021
  • WILAYA YA KARAGWE YAZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA TASAF AWAMU YA TATU.

    August 11, 2021
  • YALIYOJIRI KATIKA ZIARA MH. ENG. KUNDO ANDREA MATHEW. WILAYANI KARAGWE.

    August 01, 2021
  • Angalia zote

Video

KIONGOZI BORA NI YUPI? | MWL. JK NYERERE
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 0754653409

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.