• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Ujenzi, Uchumi na Mazingira

KAMATI YA MASUALA YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA

  • Mh. Anold B. Rwesheleka                               - Mwenyekiti
  • Mh. Xavery Buguzi                                           -Mjumbe
  • Mh. Ladislaus T. Kamuhangile                         -Mjumbe
  • Mh. Longino W. Rwenduru                               -Mjumbe
  • Mh. Charles Beichumila                                    -Mjumbe
  • Mh. Prisca Busenene                                        -Mjumbe
  • Mh. Genegeva Kanyiginya                               - Mjumbe
  • Mh. Shedrack Ntimba                                       – Mjumbe
  • Mh. Siima Ezekiel                                             - Mjumbe
  • Mh. Jovitha Kombe                                           - Mjumbe
  • Mh. Zidina Murushid                                         - Mjumbe
  • Mh. Germanus Byabusha                                 - Mjumbe
  • Mh. Wallace Mashanda                                     - Mjumbe

Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, Biashara n.k. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la maendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira.

Majukumu ya Kamati hii ni kama ifuatavyo:

  • Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato yatokanayo na upanuzi huo.
  • Kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo la Halmashauri.
  • Kusimamia matumizi ya Sheria ya nguvu kazi.
  • Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko, minada, majosho na vituo vya maifugo.
  • Kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika. Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka za Serikali za Mitaa.
  • Kupendekeza na kufanya tathmini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa.
  • Kubuni na kupendekeza namna ya kudhibiti moto.
  • Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji wa miti ovyo na kuhimiza upandaji wa miti.
  • Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
  • Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla.
  • Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA 2022 December 01, 2022
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA SEKONDARI 2023 December 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI May 19, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 09, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Ujenzi shule 'Kagera river' unaendelea vizuri.

    April 12, 2023
  • Ujenzi shule 'Kagera river' unaendelea vizuri.

    April 12, 2023
  • Hospitali ya wilaya ya Karagwe kuzalisha gesi

    April 12, 2023
  • Hospitali ya wilaya ya Karagwe kuzalisha gesi

    April 12, 2023
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAWASIMAMISHA WATUMISHI
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.