TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA IDARA YA MAJI ROBO YA NNE 2016/17
Kwa kuzingatia Sera ya Maji ya mwaka 2002, huduma ya maji vijijini kiwango cha maji kwa matumizi ya nyumbani katika vipindi vyote vya mwaka, ni lita 25 za maji safi na salama kwa mtu kwa siku, kwenye umbali usiozidi mita 400 kutoka kwenye makazi ya watu, na kila kituo kitahudumia watu 250. Jedwali 1.1 linaonyesha uwiano wa upatikanaji wa maji kitaifa na kiwilaya na Jedwal 1.2 linaonyesha idadi ya miundombinu iliyopo Karagwe
Upatikanaji wa maji Vijijini kitaifa
|
Upatikanaji wa maji Karagwe
|
67.7% |
49% |
Jedwali 1.1
Idadi ya miundombinu
Na
|
Aina ya Mradi
|
Idadi iliyopo 2015 |
1
|
Maji bubujiko (Gravity scheme)
|
18 |
2
|
Miradi inayotumia nguvu za mashine
|
13 |
3
|
Visima virefu
|
75 |
4
|
Visima vifupi
|
50 |
5
|
Vyanzo vilivyoboreshwa
|
86 |
6
|
Uvunaji wa maji ya mvua
|
593 |
Jedwali 1.2
Programu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini, ikiwa ni sehemu ya Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji iliyoandaliwa mwaka 2007, ina lengo la kuhakikisha kuwa asilimia 95 ya wananchi waishio vijijini wanapatiwa huduma ya maji ifikapo mwaka 2025.
Jumla ya vituo 164 vitajengwa kwa awamu hii ya kwanza ya Tekeleza Sasa kwa Matokeo ya Haraka kwenye vijiji hivi sita (6). Hali Halisi ni kama inavyoonyesha kwenye Kiambatisho 1.1
Halmashauri ilipokea tshs 20,000,000 kwa ajili ya uundaji wa Jumuiya za watumiaji maji, Mafunzo kwa viongozi wa Jumuiya za Watumiaji maji na kufufua vituo vya maji kwa mchanganuo ufuatao;
Na |
Shughuli |
Lengo |
Kiasi |
Hali ya Utekelezaji |
1
|
Mafunzo kwa viongozi wa Jumuiya za watumiaji maji
|
Kutoa mafunzo kwa Jumuiya za Rukale/Nyakayanja, Kikarurwa, Bukiaki, Chakacha, Umoja, Bukangara, Mkombozi, Uhai, na Muungano
|
6,000,000
|
Mafunzo yamefanyika
|
2
|
Uundaji wa jumuiya za watumiaji maji
|
Kuwezesha, uundaji na usaji wa Jumuiya 20 za watumiaji maji Kasheshe, Ruhita, Rugu, Ndama, Nyabwegila, Katanda, Kibwera, Kigarama, Katembe, Kibogoizi, Kituntu, Katwe, Runyaga, Kandegesho na Omurulama
|
10,000,000
|
Maadalizi ya kufanya mafuzo yamekamiika
|
3
|
Kufufua vituo vya maji
|
Kununua spare na kukarabati papmu za mkono Nyakaiga
|
4,000,000
|
Taratibu za manunuzi zinaendelea
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Changamoto :
Mikakati
Kuendelea kusisimamia wakandarasi ili kuhakikisha kazi zinafanywa kwa mujibu wa “specification” na kwa wakati uliokubalika.
Kuhakikisha jamii inashirikishwa kikamilifu kwenye shughuli zote za mradi na kuwawezesha kumudu uendeshaji na matengenezo kwa 100%
Kuendelea kuandika maombi ya fedha za ukarabati na ujenzi wa miradi kwa wadau wengine
Eng. Wolta S. Kirita
Mkuu wa Idara ya Maji
Halmashauri ya Wilaya Karagwe
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.