Fomu ya maombi inaweza:
1. Kujazwa moja kwa moja na mwombaji na kuwasilishwa kupitia barua pepe rasmi au
2. kujazwa kwa kushirikiana na Afisa Habari wa Halmashauri kisha kuwasilishwa kwa barua pepe
3. Barua pepe maudhui@michezo.go.tz
PAKUA FOMU HII: Naleta kwenu link yenye fomu kwa ajili ya usajili wa waandaji wa maudhui mtandaoni.
https://www.michezo.go.tz/uploads/documents/sw-1770031273-FOMU%20YA%20MAOMBI%20YA%20MWANDAJI%20WA%20MAUDHUI.pdf
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.