PRE-PRIMARY SCHOOL INFORMATION
Karagwe District has a number of 7,649 pre-primary pupils of whom 3,489 are female and are
3,639 male in 110 Pre-primary Schools
PRIMARY EDUCATION
Karagwe has 113 primary schools with a total number of 59,072 pupils out of which 29,511 are
female and 27,982 are male.
The issue of rehabilitation and construction of classrooms and teacher houses have been an important
focus. The strategy for construction of classrooms and teachers’ houses has changed from a true paid
construction to cost sharing arrangement with community contribution taken to the maximum. This has
proved to be an effective and cost efficient strategy to increase the number of classrooms, teachers’
houses, and latrines. It has also reinforced community ownership of schools and capabilities in
addressing problems.
PRIMARY SCHOOL QUALITY IMPROVEMENT
-To date the ratio of books stands at 1:6. This was caused by the rules/ guides on the right
text to be used in learning. Before this ruling out of text to be used, the ratio of books was
1:6. The paradigm shift of learning and lack of funds are the main cause of this situation.
-Teachers’ pupil ratio before PEDP was 1:85 to date stands at 1:46 which indicates the
teachers’ employment does not match with the increased enrollment.
-Meanwhile the range of recruitment is 100 teacher per year for Karagwe District which
shows the encouragement of government initiatives.
-Availability of other teaching materials to date increases tremendously as funds for
purchase of teaching materials is made available .
TAARIFA FUPI YA IDARA YA ELIMU YA MSINGI KWA MWAKA 2016/2017
Utangulizi:
Mhe. Mwenyekiti, Idara ya Elimu Msingi hapa Wilayani ina vitengo vya utawala, taaluma, vifaa na takwimu, elimu ya watu wazima, elimu maalum na kitengo cha utamaduni na michezo.
Idara inazo shule za msingi 118 ambazo 110 ni za serikali na shule 8 ni za binafsi. Aidha katika shule hizo yapo madarasa ya elimu ya awali 109 ya serikali na 6 ya binafsi. Jumla ya madarasa ya elimu ya awalini 115.
Pia idara inao walimu 1,310 walioko darasani wakiwa wanahudumia wanafunzi 75,108 wa elimu ya kawaida na wanafunzi 54 wa elimu maalum.
B) Kazi kubwazilizofanyikachini ya vitengombalimbalinikamaifuatavyo:-
(i) Kumepokelewa jumla ya vitabu 117,657 vya mtaala mpya hadi sasa kwa darasa la I hadi la III kwa masomo yote ya darasa la I na II na masomo ya Hisabati, Kiswahili, Maarifa na English kwa darasa la III.
(ii) Kumefanyika mitihani yaTaifaya kuhitimu elimu ya msingi na ya darasa la nne na matokeo yake yalikuwa kama ifuatavyo:
Wahitimuwaelimu ya msingi(PSLE drs la VII) mwaka 2016.
Waliotegemewa
|
Waliofanya
|
Waliofaulu
|
%
|
Waliochaguliwa
|
%
|
||||||||
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
||
2,131
|
2,557
|
4,688
|
2,122
|
2,553
|
4,675
|
1,679
|
1,911
|
3,590
|
76.6
|
1,679
|
1,911
|
3,590
|
100
|
Matokeo ya darasa la IV 2016.
Waliotegemewa |
Waliofanya
|
Waliofaulu
|
%
|
||||||
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
|
2,805 |
3,251 |
6,056 |
7,752 |
3,194 |
5,946 |
2,219 |
2,394 |
4,613 |
78 |
(iii) Yamefanyika mafunzo juu ya uongozi bora nauendeshaji shule
Kwa kamati za shule za msingi 110 za serikali.
(iv) Uandikishaji wanafunzi umekuwa kama ifuatavyo:
Msingidarasa I 2017.
Waliotegemewa |
Waliofanya
|
% ya uandikishaji
|
||||
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
|
6,001 |
5,981 |
11,880 |
7,693 |
7,929 |
15,622 |
131%
|
Usajiliwadarasa la Awali 2017.
Taasisi
|
Tegemewa |
Sajiliwa
|
%
|
||||
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
|
|
Serikalitu |
6,871
|
6,630
|
13,651
|
7,237
|
7,050
|
14,288
|
104%
|
Serikalina Binafsi |
6,899
|
6,659
|
13,688
|
7,314
|
7,113
|
14,428
|
105%
|
(c) UsajiliElimuMaalum 2017.
Tegemewa |
Sajiliwa
|
%
|
||||
Wv
|
Ws
|
Jml
|
Wv
|
Ws
|
Jml
|
|
18
|
17
|
35
|
13
|
12
|
25
|
71%
|
(v) Hali ya miundombinukwamwaka 2016/2017.
Aina
|
Nyumba
|
Madarasa
|
Vyoo
|
Ofisi M/Mkuu
|
Ofisiwalimu
|
Tanki la maji
|
Dawati
|
Meza
|
Viti
|
Maktaba
|
Kabata
|
Mahitaji |
1,665 |
1,665 |
2,751 |
118 |
203 |
203 |
24,633 |
3,316 |
3,582 |
178 |
2,628 |
Iliyopo |
326 |
904 |
1,391 |
91 |
80 |
83 |
22,909 |
1,401 |
1,564 |
43 |
616 |
Upungufu |
1,339 |
761 |
1,360 |
27 |
123 |
120 |
1,724 |
1,915 |
2,018 |
135 |
2,012 |
(vi) Vime patikana vifaa kwa ajili ya elimu maalum kutoka Wizarani vyenye thamani ya zaidi tsh. 23,000,000/= vifaa hivyo vimegawiwa katika shule za Sekondari Ruhinda na S/Msingi Nyakahanga.
(vii) Kuhusu utamaduni na michezo, michezo mbalimbali imefanyika wilayani ikiwa ni pamoja na Umitashumta kupeleka vijana 2 kushiriki ngazi ya taifa. Mwanafunzi Ladslaus Ludovick wa Nyakahanga S/Msingi amechaguliwa kwenda Sports Academy Taifa.
Pia siku ya utamaduni taifa hapa wilayani tumepata wageni kutoka UNESCO Mr.Phillipe Roisse na Simeone Pecorari ikiwa ni pamoja na kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko wilaya ya Karagwe.
Aidha ligi mbalimbali za mpira wa miguu zimeendeshwa mf. Ligi ya Mkoa, Ligi ya Wilaya (KDFA), ligi ya mbuzi (Kayanga + Nyakahanga), ligi ya ng’ombe – Nyaishozi na ligi za madiwani Rugera na Kituntu.
(viii) Kumefanyika shughuli za kuingiza walimu katika mfumo wa Lawson kwa masomo wanayofundisha.
(ix) Aidhazoezi la kusajili wanafunzi wote darasa la I - VII 2017 lilifanyika kwa kuwaingiza katika mfumo wa ‘PRem’.
(x) Limefanyika zoezi la kuingiza takwimu zote muhimu za elimu ya msingi katika mfumowa “Bemis”.
C) Changamoto:
(i) Idara inakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi kutokana na ruzuku kutotolewa ipasavyo hivyo idarai mekuwa inapata msaada toka vyanzo vya ndani vya halmashauri (Ownsource).
(ii) Bado tunao upungufu mkubwa wa walimu 830 ili kuwa na ikama stahili ya kuhudumia wanafunzi waliopo shuleni.
(iii) Mifumo iliyoanzishwa katika taarifa hiyo imeleta utata pale zinazohitajika taarifa za kutuma /kurekebisha wakati huo hakuna mtandao.
Naomba kuwasilisha.
Angela M. Anselimi
KAIMU AFISAELIMU MSINGI
HALMASHAURI YA WILAYA
KARAGWE
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.