Kitengo cha Sheria kimojawapo kati ya vitengo vya Halmashauri ya wilaya ya karagwe .kitengo hiki kina majukumu yake makubwa ni kusimamia mashauri yote yaliyo mahakamani au mabaraza ambayo halmashauri inashtaki au kushtakiwa, kuishauri Halmashauri katika mambo yanayohohusu sheria, kuandaa sheria ndogo na kanuni mbali mbali za Halmashauri, kuandaa na kufanya upekuzi katika mikataba ambayo halmashauri inangia na pande nyingine .
Kitengo cha sheria katika halmashauri ya Karagwe kinatekeleza majukumu yake kulingana na sheria na miongozo. Kitengo hiki kinatekeleza majukumu mbalimbali kama ifuatavyo
MAJUKUMU YA KITENGO CHA SHERIA
Kushauri Halmashauri katika usimamizi wa mikataba ya Halmashauri.
Bonyeza hapo chini ili uweze kutazama Kanuni na Sheria
Taarifa iliwasilishwa ikionesha kazi zilizofanywa na kitengo kwa robo ya nne ikiwa na Kusimamia mashauri katika mahakama na mabaraza ya kisheria ambayo Halmashauri imeshitaki ama kushitakiwa.
Kuandaa mikataba ya ujenzi wa miradi ya madarasa ya Shule kongwe na Boost aidha KushirikIi katika kikao cha kupitia rasimu ya mkataba wa m-mama.
Wakijadili taarifa hiyo wajumbe walishauri kitengo kuongeza nguvu katika kusimamia mashauri yaliyopo mahakamani
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.