• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Maadili

KAMATI YA MAADILI:

Kamati hii itakuwa na wajumbe wasiozidi watano (05) walioteuliwa na Halmashauri kutoka miongoni mwa madiwani waliochaguliwa. Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala atakuwa ndiye Katibu wa Kamati hii.

Malalamiko kuhusu uvunjaji wa Kanuni hizi yanaweza kutolewa na mtu mmojawapo kati ya hawa wafuatao.

  • Mtu yeyote ambaye ameathiriwa au anaelekea kuathiriwa na kitendo au maamuzi yaliyofanywa na diwani.
  • Diwani.
  • Mtumishi wa Halmashauri.
  • Kamati ya Maadili kwa kuamua yenyewe.
  • Majukumu ya Kamati hii yatahusisha:
  • Kutoa ushauri kwa Halmashauri kuhusu utekelezaji wa Kanuni hizi.
  • Kufanya uchunguzi wa madai ya uvunjaji wa Kanuni za Maadili ya Madiwani na kuwasilisha mapendekezo kwa Halmashauri kwa hatua zinazostahili.
  • Kutoa ushauri wa maoni kwa Halmashauri na kwa Diwani mmoja mmoja kuhusu masuala yanayohusu mwenendo wa kimaadili.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE NA UMMA KWA UJUMLA May 25, 2017
  • Ratiba ya Usafi wa Mazingira Karagwe June 08, 2017
  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari June 08, 2017
  • Tangazo la nafasi za kazi July 14, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKOPO WA SHILINGI 138,000,000/= WATOLEWA KWA VIKUNDI 42 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU, KWA KIPINDI CHA JANUARI – MACHI, 2021WILAYANI KARAGWE.

    April 16, 2021
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE YAMLILIA ALIYEKUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DKT JOHN POMBE MAGUFULI PAMOJA NA KUMPONGEZA MH. SAMIA SULUHU HASSAN KUAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

    March 19, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI WILAYANI KARAGWE LAPITISHA BAJETI YA SHILINGI 45,229,359,445.00 KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022.

    March 10, 2021
  • KIJIJI CHA KAGUTU CHATUMIKA KAMA DARASA SIKU YA ‘AFYA NA LISHE YA KIJIJINI’.

    February 19, 2021
  • Angalia zote

Video

KIONGOZI BORA NI YUPI? | MWL. JK NYERERE
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.