Engineer of Works
The Department is concerned with making sure infrastructure is well andsupportive to community of Karagwe. By knowing that available of propersocial infrastructure is the booster of Community Development, then theDepartment is full engaged in constructions of Government Building Projectssuch as school classes, health dispensaries, bridge, and roads.
Road Network
In terms of road network the District has a total of 903km of roads out ofwhich 384.3km are earth roads, 508.7km are gravel roads and 10km areottasea.road network at krgdc
At Karagwe District, the council has been allocating funds for road repairand rehabilitation both in urban and villages. Until now the Councilthrough Road Fund has managed to reconstruct various roads in order to besustainable throughout the year.
Functions of Departments
To sensitize the community on road issues/matters and by-laws. To prepare road strip map and BOQs.Ensuring availability of Government builings,plants and equipments areworking at 100%. Upgrading of some community roads to feeder roads.
1.1 IDARA YA MIUNDOMBINU, MAENDELEO VIJIJINI NA MJINI
Malengo ya Idara
Idara ya Miundombinu, Maendeleo Vijijini na Mjini ni kushauri juu ya shughuli zote zinazohusika na Miundombinu katika Halmashauri ya Wilaya Karagwe na itasimamiwa na Mkuu wa Idara.
Majukumu ya Idara
Idara inafanya majukumu yafuatayo:
Kutoa ushauri juu ya shughuli za ujenzi;
Kupanga mipango ya kuendeleza miundombinu;
Kuchambua na kuthibitisha malipo ya Wakandarasi;
Kukagua kazi za ujenzi zilizofanywa na Halmashauri kwa ajili ya kuthibitsha ubora;
Kutoa vyeti vya utimilifu wa kazi kwa wakandarasi;
Kuanzisha barabara mpya za vijijini kwa kushirikiana na TARURA;
Kuanzisha na kuimarisha ushirikiano na taasisi za nje na ndani ya nchi zinazofanya kazi za ujenzi wa miundombinu;
Kushiriki katika kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi;
Kusimamia ukuaji/uendelezaji wa vijiji na miji kwa kushirikiana na Wizara yenye mamlaka ya ardhi;
Kusimamia maendeleo ya makazi katika vijiji na miji kwa kushirikiana na Wizara yenye mamlaka ya ardhi;
KITENGO CHA MIUNDOMBINU (WORKS SECTION)
Kitengo hiki kinaongozwa na Msimamizi wa Kitengo na kinafanya kazi zifuatazo;
Kutoa ushauri kuhusu sheria, miongozo, utaratibu juu ya shughuli zote zinazohusiana na majengo;
Kuchambua, kutafsiri na kusimsmia utekelezaji wa sera, sheria na miongozo kuhusu ujenzi/majengo;
Kuandaa mikataba ya ujenzi na kusimika mitambo;
Kuandaa maksio /makadrio ya gharama za ujenzi;
Kufuatilia/kusimamia utendaji wa wakandarasi;
Kupitia, kuchambua na kuidhinisha malipo ya Wakandarasi;
Kukagua na kuthibitsha ubora wa majengo;
Kutoa vyeti vya utimilifu wa kazi kwa wakandarasi kwa kuzingatia mikataba;
Kusimamia uendeshwaji wa shughuli za Workshop ya Halmashauri;
KITENGO CHA BARABARA (ROAD SECTION)
Kitengo hiki kinaongozwa na Msimamizi wa Kitengo na kinafanya majukumu yafuatayo:
Kutoa ushauri kuhusiana na utambuzi na ufunguaji wa barabara mpya;
Kuchambua, kutafsiri na kusimsmia utekelezaji wa sera, sheria na miongozo kuhusu ujenzi/majengo;
Kufungua barabara mpya katika maeneo yaliyopimwa;
Kuandaa mikatba kwa ajili ya kufungua barabara mpya;
Kuandaa maksio/makadirio ya gharama za kufungua barabara mpya;
Kufuatilia/kusimamia utendaji wa wakandarasi;
Kutoa vyeti vya utimilifu wa kazi kwa wakandarasi kwa kuzingatia mikataba;
Kukagua ubora wa barabara zilizofunguliwa;
KITENGO CHA MAENDELEO VIJIJINI NA MJINI (RURAL AND URBAN DEVELOPMENT)
Kitengo hiki kinaongozwa na Msimamizi wa Kitengo na kinafanya majukumu yafuatayo:
Kusimamia maendeleo ya makazi katika vijiji na miji kwa kushirikiana na Wizara yenye mamlaka ya ardhi;
Kusimamia mazingira na huduma za kijamii;
Kuongoza mipango ya ukuaji wa miji midogo, makazi na matumizi bora ya ardhi;
Kusimamia na kuratibu makumbusho/mali kale na utalii;
Kusimamia ukuaji/uendelezaji miji kwa kushirikiana na Wizara yenye mamlaka ya ardhi;
Kuratibu na kulea miji ya vijiji inayochipukia kwenda miji midogo;
Kushiriki katika kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi;
2.0 WATUMISHI KATIKA IDARA
Idara ya Miundombinu,Maendeleo Vijijini na Mjini ina watumishi wafuatao:
Eng.Jimmy B. Njau – (Civil Structural Eng.II, Kaimu Mkuu wa Idara);
Eng. Honoratus F. Kessy - (Civil Structural Eng.II);
Eng.Bamunoba F.Tilugambilwa - (Mech. Engineer I);
Dioniz S.Kyaruzi – (Civil Tech- Mwandamzi);
Libent Kalabamu – (Civil Tech- Mwandamzi);
Morice B.Mututa (Civil Tech.I);
Sylidion Tuluhungwa – (Civil Tech.II);
Nancy Thiebruc Mrema – (Civil Tech.II) – Ajira mpya (Ameripoti);
Hadija Saidi Mbupu – (Civil Tech.II) – Ajira mpya (Ameripoti)
Eng. Jimmy B. Njau
KAIMU MKUU WA IDARA YA UJENZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA
KARAGWE
|
|
|
|
|
|
|
|
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.