Imewekwa: February 12th, 2019
Na, Geofrey Archard Kazaula.
Wananchi Katika Wilaya ya Karagwe wamehimizwa kujenga vyoo bora na imara kama sehemu ya kinga kwa afya zao.
Akizungumza na wananchi Katika Kata ya Nyakab...
Imewekwa: January 29th, 2019
Na Geofrey A.Kazaula
Serikali ya awamu ya tano chini ya Mh, Rais Dr . John Pombe Magufuli imetoa jumla ya Shilingi Billioni moja nanusu kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karagwe.
...
Imewekwa: January 2nd, 2019
Na Frank I.Ruhinda
Imeshauriwa kuwa halmashauri ya wilaya ya Karagwe iandae utaratibu wa kuwatoza ushuru wauza mkaa badala ya kuwaachia watendaji wa kata na vijiji ambao hawana jinsi wala sheria nd...