Imewekwa: September 26th, 2022
Mhe. Wallace Mashanda, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Karagwe amekabidhiwa zawadi 'pop' kutoka Ujerurumani. Zawadi hiyo hutumika viwandani kutengenezea bidhaa mbalimbali....
Imewekwa: September 26th, 2022
Wageni kutoka Ujerumani wamefika ofisini kwa mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Karagwe na kusaini kitabu cha wageni. Wageni hao wametoka katika Manispaa ya Furth nchini Ujerumani na wame...
Imewekwa: September 25th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Karagwe imepokea wageni kutoka Manispaa ya Furth (Ujerumani). Wageni hao wamewasili Septemba 25, 2022 na watakaa katika Halmashauri ya wilaya ya Karagwe kwa muda wa siku saba ...