OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE
Kuh : TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU JANUARI HADI MACHI 2021 MWAKA WA FEDHA 2020/2021,
Mh. Mwenyekiti
BARAZA LA MADIWANI
Naomba kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi kwa kipindi cha robo ya tatu kwa mwaka 2020/2021 kama ifuatavyo:
UTANGULIZI
Kwa mwaka wa Fedha 2020/2021 Kiasi cha Shs. 11,243,063,585/= kiliidhinishwa ili kutekeleza Miradi ya Maendeleo, kati ya fedha hizo Shs. 7,002,528,927/= kutoka serikali kuu pamoja na wadau wa maendeleo, Shs.899,197,574.00 kutokana na Mapato ya ndani ,zikiwemo pamoja na (asilimia 4/4/2) fedha za Mfuko wa Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu; na nguvu za wananchi (michango, nguvukazi na vifaa vya mazingira vya ujenzi) zilikisiwa kuwa ni Shs.230,000,000/= kwa wastani wa Shs.10m/- kwa kila Kata
Aidha, mashirika yasiyo ya serikali yaliahidi kuchangia Shs. 3,111,337,084/=
MAPOKEZI YA FEDHA
Mh. Mwenyekiti,
Hadi kufikia mwezi Machi mwishoni kiasi cha Shs. 3,206,808,444/= sawa na asilimia 45.80. zilikuwa zimepatikana kutoka serikali kuu na wadau wa maendeleo
Mchango wa Halmashauri Shs. 462,835,820 sawa na asilimia 51.47, na nguvu na michango ya wananchi imekadiriwa kufikia Shs. 130,000,000 sawa na asilimia 56.52
Aidha,Halmashauri imechangiwa katika sekta ya elimu na CBIDO kiasi cha Shs.18,499,641/= ambapo kwa ajili ya ujenzi wa darasa la watu maalum SM Lukole . Ambapo Halmashauri imekubaliana na CBIDO kuchangia madawati kiti na meza ya walimu. Pia Jambo for Development wamechangia kiasi cha Shs.50,838,732 katika ujenzi wa vyoo 14 ,chumba cha kujihifadhia wasichana na Tenki la maji lenye ujazo wa Lita 150,000 katika Shule ya Msingi Ahakishaka ( Shs.25,419,366 mchango wa Halmashauri) na Kiasi cha Shs.52 800,000 katika ujenzi wa Madarasa 4 shule ya Msingi Matara ( Shs.26,400,000 mchango wa Halmashauri )
JEDWALI. NAMBA 1:
MAPOKEZI YA FEDHA KATIKA BAJETI YA MWAKA 2020/2021
NA |
CHANZO CHA FEDHA |
ZILIZOIDHINISHWA 2020/2021 SHS. |
ZILIZOPATIKANA HADI MACHI 2021 SHS |
ASILIMIA |
1 |
TASAF
|
1,806,968,000 |
982,140,210 |
54.35 |
2 |
MFUKO WA JIMBO
|
70,273,000 |
70,272,000 |
100.00 |
3 |
MIUNDOMBINU YA VYOO KATIKA SHULE ZA MSINGI Swash
|
289,800,000 |
HAZIJATOLEWA
|
0.00 |
4 |
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KTK SHULE ZA MSINGI
|
200,000,000 |
HAZIJATOLEWA |
0.00 |
5 |
UKAMILISHAJI WA VYUMBA VYA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI 9
|
112,517,172 |
112,517,172 |
100.00 |
6 |
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KTK SHULE ZA SEKONDARI
|
200,000,000 |
HAZIJATOLEWA |
0.00 |
7 |
UKAMILISHAJI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MAABARA 7 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
|
210,000,000 |
210,000,000 |
100.00 |
8 |
ELIMU BILA MALIPO SEKONDARI na MSINGI
|
1,449,391,500 |
1,000,426,098 |
69.02 |
9 |
MFUKO WA AFYA WA PAMOJA (BASKET FUND)
|
834,800,000 |
417,194,500 |
49.98 |
10 |
AFYA (Management Development For Health)
|
678,779,255 |
484,530,464 |
71.38 |
11 |
UJENZI WA ZAHANATI 3
|
150,000,000 |
150,000,000 |
100 |
12 |
MANUNUZI YA VIFAATIBA
|
500,000,000 |
HAZIJATOLEWA |
0.00 |
13 |
UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA
|
500,000,000 |
500,000,000 |
100 |
|
JUMLA NDOGO
|
7,002,528,927 |
3,206,808,444 |
45.80 |
14 |
MAPATO YA NDANI - MIRADI
|
899,197,574 |
462,835,820 |
51.47 |
15 |
MCHANGO WA JAMII
|
230,000,000 |
130,000,000 |
56.52 |
|
JUMLA NDOGO
|
1,129,197,574 |
592,835,820 |
52.50 |
16 |
WADAU WA MAENDELEO na Mashirika
|
3,111,337,084 |
122,135,373 |
3.93 |
|
JUMLA NDOGO
|
3,111,337,084 |
122,135,373 |
3.93 |
|
JUMLA KUU
|
11,243,063,585 |
3,921,779,637 |
34.88 |
Mhe. Mwenyekiti,
Pamoja na taarifa hii, majedwali yanayoonesha hatua za utekelezaji miradi ya mwaka 2020/2021 na utekelezaji wa miradi ya mwaka 2019/2020 iliyoendelea kutekelezwa kwa mwaka 2020/2021 yameambatishwa.
Naomba kuwasilisha.
G.M. Kitonka
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
JEDWALI NAMBA 2: UTEKELEZAJI MIRADI – KWA MAPATO YA NDANI 40% KWA MWAKA 2020/2021
S/N
|
JINA LA MRADI |
MAHALI MRADI ULIPO |
FEDHA ZILIZOTENGWA SHS |
FEDHA ZILIZOTOLEWA SHS |
FEDHA ZILIZOTUMIKA SHS |
HALI YA UTEKELEZAJI |
MAELEZO |
|
1 |
2 |
3 |
4 |
5 |
6 |
7 |
1
|
Mchango katika miradi -Mikopo kwa vikundi vya maendeleo -wanawake
|
|
81,843,257.60 |
172,936,804.00 |
|
Vikundi 86 Vimepatiwa Mikopo hii
|
Kufikia Robo ya 3 Kiasi cha Shs.127,428,563.38 kimewekwa kwenye Akaunti ya Mfuko huu
|
2
|
Mchango katika miradi- Mikopo kwa vikundi vya maendeleo -vijana
|
|
85,000,000.00 |
||||
3
|
Mchango katika miradi- Mikopo kwa vikundi vya maendeleo – watu wenye ulemavu
|
|
40,921,628.80 |
||||
|
JUMLA NDOGO
|
|
204,608,144 |
172,936,804.00
|
|
|
|
4
|
Miradi ya kudhibiti UKIMWI na watoto walio katika Mazingira Hatarishi
|
|
5,000,000 |
|
|
Fedha haijapatikana.
|
|
|
JUMLA NDOGO |
|
289,608,144.00 |
172,936,804.00 |
|
|
|
5
|
Manunuzi ya gari (Toyota Pick up double cabin) 1 kwa ajili ya kufuatilia Mapato
|
|
75,287,625 |
|
|
Fedha zinatengwa kila mwezi .
|
Manunuzi yanafanyika Mwaka huu wa fedha
|
6
|
Kufanya mafunzo ya Planrep kwa wakuu wa Idara na wasaidizi wao
|
|
5,577,600 |
|
|
Mafunzo yalifanyika.
|
|
7
|
Ukarabati na utunzaji wa majengo ya Halmashauri awamu ya kwanza kwa kupiga rangi mabati ,kuweka Tiles pamoja na kuweka Gutters ili kuvuna maji ya mvua
|
|
25,000,000 |
24,455,550 |
24,455,550 |
Ukarabati wa Rest House na kubadilisha Vitanda , kuweka Kiyoyozi , Fire Extinguishers, kununua Television na Kingamuzi na Generata. Pamoja na kukarabati nyumba ya Mkuu wa Wilaya umefanyika.
|
Kifungu hiki kiliidhinishwa na Kikao cha CMT kitumike kwa shughuli hii
|
8
|
Shughuli za Usimamizi, ufuatiliaji wa miradi ,uandaaji na uwasilishaji wa taarifa
|
|
12,000,000
|
6,640,000 |
6,640,000 |
Shughuli zimefanyia na Taarifa kuwasilishwa kwa wakati
|
|
9
|
Uendelezaji wa Stendi za Kishao na Kayanga
|
|
70,959,205
|
19,249,816
|
19,249,816
|
Ujenzi wa Choo ,mabafu pamoja na vyoo vya watu maalum na uwekaji wa maji katika Stendi ya Kayanga umekamilika na kinatumika
|
Ujenzi wa Kibanda cha Mkusanya Mapato utafanyika
|
10
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa Ofisi za Vijiji vya Muguluka, Nyakasimbi Ahakishaka,Ahamulama,Muungano na Bukangara
|
|
28,000,000.00
|
|
|
|
Fedha hazijapatikana
|
11 |
Kugharamia upatikanaji wa Hati katika maeneo yaliyopimwa ya miradi Mkakati Mapato
|
|
10,000,000.00 |
5,500,000.00 |
5,500,000.00 |
Maeneo yaliyopimwa Kihanga eneo la Viwanda ,Kituntu, Rumanyika,Nyaishozi, na Hospitali ya Wilaya
|
Upimaji ulishirikishawataalamu wa Mkoa Wilaya na Vijana wa Chuo Kikuuu cha Ardhi
|
|
JUMLA NDOGO
|
226,824,430
|
226,824,430
|
|
55,845,366.00
|
|
|
12
|
Kuwezesha Mfumo wa TEHAMA pamoja na kununua na kufunga vifaa
|
|
18,000,000.00
|
|
|
|
Kazi haijafanyika
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
18,000,000
|
|
|
|
|
13
|
Kuchangia ujenzi wa madarasa katika Shule ya sekondari Bisheshe, Rugera, Kigarama na Kanono
|
|
65,000,000.00
|
70,100,000
|
70,100,000
|
Ujenzi wa madarasa katika shule za Sekondari za Bisheshe, Kayanga, Kiruruma, Nono, Nyakahanga na Rugera upo katika hatua za ukamilishaji
|
Fedha hizi zilitolewa ili kukabiliana na ufaulu mkubwa wa darasa la Saba
|
14
|
Kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa miundombinu iliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi katika shule za Msingi (Shule ya Msingi Kabale nyumba ya Mwalimu,Rwentuhe sm Ofisi ya walimu,na Mtara SM darasa 1)
|
|
65,000,000.00
|
55,719,000
|
55,719,000 |
Fedha zimetolewa kuchangia ujenzi wa Kisima Shule ya Msingi Rwamugurusi Shs 3.9m. mradi ulifadhiliwa na MAVUNO. Shs 26.4m Matara SM Na Shs.25.4m Ahakishaka
|
Miradi ilichangiwa na MAVUNO pamoja na Jambo For Development
|
15
|
Kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa , vyoo na Ofisi katika Shule za Msingi Shikizi mpya tano za Miriro, Mushasha, Kajunju, Kigasha na Nyakabila
|
|
20,000,000.00
|
5,200,000.00
|
5,200,000.00
|
Uezekaji wa madarasa na ununuaji wa Kingamuzi umefanyika katika Shule shikizi Mirilo
|
Fedha hizi zilitolewa kwa maagizo ya BARAZA la Wah. Madiwani.
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
150,000,000 |
131,019,000 |
131,019,000 |
|
|
16
|
Kuchangia ujenzi wa Zahanati Igurwa, Nyarugando,Kituntu na Ihanda
|
|
65,000,000.00 |
39,528,101 |
39,528,101 |
Utekelezaji unaendelea kwa kushirikisha jamii
|
Kifungu hiki kimetumika pia kuchangia ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
|
|
Huduma za lishe kwa watoto walio chini ya miaka 5
|
|
80,765,000 |
19,447,000 |
19,447,000 |
Utekelezaji wa shughuli za Lishe unaendelea.
|
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
145,765,000 |
58,975,101 |
58,975,101 |
|
|
|
MIRADI YA KILIMO
|
|
|
|
|
|
|
17
|
Kununua na kusambaza miche ya Kahawa
|
|
20,000,000 |
10,000,000.00 |
10,000,000.00 |
Miche ya Kahawa imenunuliwa na kugawiwa kwa wakulima.
|
|
18
|
Kulipa deni la Kahawa
|
|
570,000.00 |
|
|
|
|
19
|
Kuwezesha shughuli za maonesho ya nanenane
|
|
9,800,000 |
|
|
Maonesho yalifanyika.
|
|
20
|
Kununua na kuwapatia wakulima mbegu za maharage
|
|
1,800,000 |
|
|
|
|
21
|
Kuwezesha kufanyika kwa mikutano na ufuatiliaji wa shughuli za ushirika
|
|
4,830,000 |
|
|
|
|
22
|
Kuendeleza Kilimo cha umwagiliaji Mwisa
|
|
37,000,000 |
20,000,000 |
20,000,000 |
Ujenzi wa mifereji ya umwagiliaji Mwisa unaendelea. Chini ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
|
Kifungu hiki kimetumika kugharamia chanjo
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
74,000,000 |
30,000,000 |
30,000,000 |
|
|
|
MIRADI YA MIFUGO
|
|
|
|
|
|
|
23
|
Kuwezesha Ujenzi wa Uzio na miundombinu katika mnada wa Nyaishozi,
|
|
15,000,000 |
3,034,650 |
3,034,650 |
Ukarabati wa miundombinu katika mnada wa Kihanga Ahakameya pamoja na kununua Viti na meza umefanyika
|
|
24
|
Ujenzi wa vyoo 2 katika minada ya Nyaishozi na Rukole
|
|
10,000,000 |
1,025,000 |
1,025,000 |
Ukarabati wa choo katika mnada wa Nyaishozi umefanyika
|
|
25
|
Ujenzi wa miamba 5 ya kuchinjia wanyama katika maeneo ya Nyakasimbi,Rwambaizi, Kihanga, Nyaishozi na Nyakaiga
|
|
10,000,000 |
|
|
|
Fedha hazijatolewa
|
26
|
Ukarabati wa machinjio ya Kayanga na Omurushaka
|
|
10,000,000 |
|
|
|
Fedha hazijatolewa
|
27
|
Ujenzi wa vibanda 2 vya wakusanya Ushuru katika beria za Nyakasimbi na Kihanga
|
|
2,000,000 |
1,400,000 |
1,400,000 |
Vibanda vimesimikwa
|
|
28
|
Uzuiaji na uondoshaji wa magonjwa ya mifugo kwa kutoa chanjo kwa wanyama
|
|
10,000,000 |
10,000,000 |
10,000,000 |
Chanjo ya Mifugo ilifanyika
|
|
29
|
Ununuzi wa pikipiki 2 kwa ajili ya kazi za chanjo
|
|
5,000,000 |
|
|
|
Fedha hazijatolewa
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
62,000,000 |
15,459,650 |
15,459,650 |
|
|
31
|
Kulipa fidia Awamu ya kwanza katika eneo la Dampo Nyakahanga.
|
|
13,000,000 |
|
|
|
Fedha hazijatolewa
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
13,000,000 |
|
|
|
|
|
JUMLA KUU FEDHA ZA NDANI
|
|
899,197,574 |
|
|
|
|
|
Mchango wa Wananchi
|
|
230,000,000 |
130,000,000
|
130,000,000
|
Wananchi wanaendelea kuchangia katika shughuli za maendeleo .
|
|
|
JUMLA KUU WANANCHI
|
|
230,000,000
|
130,000,000
|
130,000,000
|
|
|
JEDWALI NAMBA 3: UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA FEDHA ZA RUZUKU YA SERIKALI NA WADAU WA MAENDELEO 3.1 MIRADI YA ELIMU MSINGI ( MRADI WA SWASH) |
|||||||
1
|
Ujenzi wa Miundondombinu ya vyoo katika Shule za Msingi za Bukangara,Bwera,Nyarugando, Omukimeya, Kasheshe, Kayanga,Kanono,Katwe,Bujuruga,Kyanyamisa na Nyakahanga
|
Wilaya Karagwe
|
289,800,000
|
|
|
Andiko limewasilishwa Wizara ya Fedha kuomba fedha hizi, Fedha Hazijatolewa.
|
Kila Shule imetengewa Shs.26,345,454.55
|
2
|
Kuchangia Ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa katika za Msingi za Ahamulama,Kafunjo,Kambarage,Kiregete -2 ,Masheli - 2 ,Muchuba,Omurulama Na Rumanyika
|
|
200,000,000
|
|
|
|
|
3
|
Kuchangia ukamilishaji wa Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika 9 za Msingi za Nyakagongo -2 , Kijumbura- 2 ,Mulamba,Rumanyika,Chamchuzi,Kibona na Masheli.
|
|
112,517,172 |
112,517,172 |
|
Fedha imetolewa kwa ajili ya ukamilishaji wa maboma, ukarabati unaendelea.
|
Kila chumba kimetengewa Shs.12,501,908
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
602,317,172 |
|
|
|
|
3.2 UTEKELEZAJI MIRADI YA ELIMU SEKONDARI
|
|||||||
4
|
Kuchangia ukamilishaji wa Ujenzi wa maabara 7 katika Shule za Sekondari za Nono, Nyabiyonza,Rugu,Ruicho,Ndama na Chakaruru
|
|
210,000,000 |
210,000,000 |
15,547,500 |
Ujenzi upo katika hatua za ukusanyaji wa Vifaa vya asili,upauaji kuta,ufungaji wa Gypsum na utengezaji wa meza katika vyumba vya Maabara.
|
|
5
|
Kuchangia ukamilishaji wa Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika za Sekondari za Bugene, Kanono, Kayanga (2) ,Kituntu,Nono,Rugera (2) na Ruicho
|
|
200,000,000
|
|
|
|
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
410,000,000
|
|
|
|
|
3.3 UTEKELEZAJI MIRADI YA AFYA
|
|||||||
6
|
Kuchangia ukamilisahi ujenzi wa wadi 3 Hospitali ya Wilaya.
|
|
500,000,000
|
500,000,000
|
|
Kiasi cha Tsh. 500Mil. kimetumwa katika Akaunti ya Halmashauri na maandalizi ya ujenzi yanaendelea.
|
|
7
|
Kuchangia ujenzi wa Zahanati za Igurwa, Nyarugando na Kafunjo.
|
|
150,000,000
|
150,000,000
|
|
Kiasi cha Ths.50Mil. kimepelekwa kwa kila Zahanati kwa Utekelezaji.
|
|
8
|
Kuwezesha manunuzi ya Vifaatiba katika Hospitali ya Wilaya
|
|
500,000,000
|
- |
- |
Fedha hazijapokelewa
|
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
1,150,000,000
|
|
|
|
|
|
Angalizo: Kwa miradi iliyotajwa hapo juu - Andiko na mikataba ya mafundi iliwasilishwa Wizara ya Fedha kuomba fedha hizi ambazo zinaendelea kutolewa.
|
||||||
|
3.4 MFUKO WA JIMBO
|
||||||
9
|
Mfuko wa Kuchochea utekelezaji wa Miradi katika JIMBO( CCDF)
|
|
70,272,000
|
70,272,000
|
69,382,000 |
Utekelezaji wa shughuli za miradi 18 iliyopatiwa fedha ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.
|
Kamati ya mfuko wa Jimbo itafuatilia utekelezaji wa shughuli za miradi.
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
70,272,000
|
70,272,000
|
69,382,000 |
|
|
9
|
Uwezeshaji wa Shughuli za kuondoa Umaskini katika Kaya TASAF
|
Kaya zilizohakikiwa katika Vijiji
|
1,806,968,000 |
982,140,210 |
982,140,210 |
Kaya zilizohakikiwa 7,525 zimepatiwa ruzuku
|
|
|
JUMLA NDOGO
|
|
1,806,968,000 |
982,140,210 |
982,140,210 |
|
|
10
|
Elimu bila Malipo Msingi
|
Shule za Msingi
|
860,139,000 |
|
|
Shughuli za uendeshaji wa Shule zimefanyika
|
|
11
|
Elimu bila Malipo Sekondari
|
Shule za Sekondari
|
589,252,500 |
|
|
Shughuli za uendeshaji wa Shule zimefanyika
|
|
|
JUMLA ELIMU BILA MALIPO
|
|
1,449,391,500
|
1,000,426,097
|
1,000,426,097
|
.
|
|
JEDWALI NAMABA 4: MIRADI YA MWAKA 2019/2020 ILIYOENDELEA KUTEKELEZWA KWA MWAKA 2020/2021 |
|||||||
S/N |
JINA LA MRADI |
MAHALI MRADI ULIPO |
FEDHA ZILIZOTENGWA SHS |
FEDHA ZILIZOTOLEWA SHS |
FEDHA ZILIZOTUMIKA SHS |
HALI YA UTEKELEZAJI |
MAELEZO |
|
Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
|
|
1,800,000,000
|
1,800,000,000
|
|
Ufungaji wa miundombinu ya Maji Umekamilika
|
Katika utekelezaji wa mradi huu Halmashauri imekwishachangia kiasi cha Shs.135,358,444kutoka vyanzo vya ndani
|
|
Ujenzi wa Miundombinu ya vyoo katika shule za msingi 7 za Rumanyika, Ihanda, Katembe,Suzana,Karagwe,Kayungu na Nyakayanja.
|
|
175,778,504
|
175,778,504
|
|
Mradi huu katika shule zote haujakamilika, Vyoo vimeezekwa na kuwekewa milango
|
Bado kazi za kuweka miundombinu ya maji. Wananchi hawakuchangia vifaa vya mazingira. Ombi la Shs. Milioni 34 limewasilishwa Halmashauri kwa ajili ya kukamilisha mradi huu.
|
|
Ujenzi wa Vyoo na Uwekaji wa miundombinu ya Maji katika kituo cha Afya Kayanga na Zahanati |
||||||
|
Kijumbula,
|
Bweranyange
|
22,000,000 |
22,000,000 |
|
Uwekaji wa miundombinu ya maji unaendelea.
|
|
|
Ruhita
|
Rugu
|
22,000,000 |
22,000,000 |
|
Kazi ya Ujenzi wa choo cha wagonjwa na Uwekaji wa miundombinu ya maji imekamilika
|
|
|
Chanika
|
|
22,000,000 |
22,000,000 |
|
Mradi huu upop katika hatua ya ukamilishaji mfumo wa maji na uwekaji wa vigae.
|
|
|
Chonyonyo.
|
|
22,000,000 |
22,000,000 |
|
Ujenzi wa kuta na uezekaji na uwekaji wa vigae umekamilika, ukarabati wa wodi ya wazazi haujaanza.
|
|
|
Kakuraijo
|
|
22,000,000 |
22,000,000 |
|
Kazi ya Ujenzi wa choo cha wagonjwa na Uwekaji wa miundombinu ya maji na ukarabati wa MCH imekamilika
|
|
|
Bweranyange,
|
|
22,000,000 |
22,000,000 |
|
Ujenzi wa kuta na uwezekaji wa bati umekamilika,uwekaji wa madadirisha na matenki ya maji taka unaendelea.
|
|
|
Nyakagoye
|
Matangazo
Habari MpyaVideoViunganishi vihusishiWorld visitors trackerVisitors CounterRamani elekeziWasiliana nasiKARAGWE KAGERA TANZANIA Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE Simu: 028-2227148 Simu ya mkononi: 028-2227148 Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved. |