• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

Imewekwa: June 11th, 2025

WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

Watumishi wapya  wa Kada Mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe wamepewa mafunzo elekezi ya Utumishi wa Umma ili kuwajengea uelewa wa Sheria, Miongozo na Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma.

Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Idara ya Utumishi kwa kushirikiana  na Taasisi Mbalimbali za Umma kama vile TAKUKURU na  Tume ya Utumishi wa Waalimu yametolewa mapema leo  Juni 10, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri (ANGAZA).

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bi. Henrietta William amewahimiza Watumishi kufuata kanuni na miongozo katika utekelezaji wa majukumu yao ili waweze kuzitumikia nafasi zao kwa amani.

" Tumepewa dhamana ya kuwatumikia Wananchi kwa nafasi mbalimbali, tukatumike vyema na kiuadilifu. Niwasihi mkaishi viapo vyenu na kufuata miongozo ya Utumishi wa Umma  hata mnapokua nje ya maeneo ya kazi" Alisema Bi.Henrietta.

Naye, Afisa Utumishi na Rasilimali Watu Ndg. Hamduni Siraji amewapa miongozo ya Utumishi wa Umma ikiwemo taratibu za ruhusa na likizo, kupanda madaraja, uhamisho, kugombea nafasi kwenye siasa, kanuni na makosa kwenye utendaji.

Aidha, Watumishi hao walipata nafasi ya kuuliza maswali kuhusu sheria na miongozo mbalimbali yenye utata kwa ajili ya maelezo zaidi.

Watumishi waliopatiwa mafunzo hayo ni takribani 169 kutoka kwenye kada mbalimbali ikiwemo Afya, Elimu, Utendaji, Misitu, Maendeleo ya Jamii, Habari nakadhalika.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

    June 13, 2025
  • WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

    June 11, 2025
  • WAKULIMA BUJURUGA WAADHIMISHA SIKUKUU YA MKULIMA KWA KUFANYA MAFUNZO YA VITENDO YA KILIMO BORA CHA MPUNGA.

    June 06, 2025
  • MASHINDANO YA UMISETA NGAZI YA WILAYA YAFUNGULIWA RASMI KARAGWE DC

    June 04, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.