• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

Imewekwa: June 13th, 2025

PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

 Leo tarehe 13/06/2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)  imekamilisha Mafunzo ya siku tatu (03) ya Matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma (NeST) yaliyotolewa kwa Watumishi wa Idara ya Afya, Elimu Sekondari na Msingi pamoja na Watendaji Kata na Vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe.

Mafunzo hayo, yamefanyika katika ukumbi  wa Halmashauri  (Angaza)  kuanzia tarehe 11  hadi 13 Juni, 2025  kwa lengo la kuwajengea uwezo watumishi kutumia mfumo  kwa urahisi pamoja na kutatua changamoto walizokutana nazo wakati wa kutumia mfumo huo.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wakati wa kufunga mafunzo hayo, Ndg. Tito Molel ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe amewasisitiza Watumishi hao kutumia mafunzo walioyapata kutekeleza majukumu yao ya manunuzi pamoja na kuwasilisha changamoto wamazokutana nazo ili zifanyiwe kazi.

Naye, Mkufunzi kutoka  Ofisi ya PPRA Kanda ya Ziwa Ndg.  Mahobe Singu amesema kuwa ni vizuri kuwa na mpango wa manunuzi kabla ya kufanya manunuzi  ili uweze kukuongoza wakati wa mchakato.

" Ukiwa na Mpango wa manunuzi utarahisisha mchakato pia utaepukana na migogoro inayoweza kutokea baina yako na mzabuni hususani kwenye vigezo vya bidhaa husika, ni vizuri kuainisha vigezo sahihi vya bidhaa unayotaka" Alisema Ndg. Singu.

Aidha, NeST (National e-Procurement System of Tanzania ) ni mfumo wa kielektroniki unaorahisisha usajili wa kielektroniki wa zabuni , usimamizi wa mikataba na malipo ya kielektroniki.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

    June 13, 2025
  • WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

    June 11, 2025
  • WAKULIMA BUJURUGA WAADHIMISHA SIKUKUU YA MKULIMA KWA KUFANYA MAFUNZO YA VITENDO YA KILIMO BORA CHA MPUNGA.

    June 06, 2025
  • MASHINDANO YA UMISETA NGAZI YA WILAYA YAFUNGULIWA RASMI KARAGWE DC

    June 04, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.