 Imewekwa: April 12th, 2023
 
            Imewekwa: April 12th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Karagwe kuanza kuzalisha gesi ya 'oxygen'. Hii ni kutokana na kusimikwa mitungi ya kuzalisha gesi katika hospitali ya wilaya ya Karagwe (Nyakanongo). Kituo hiki ndani ya Mkoa wa Kagera kimesimikwa Karagwe kwa maana ya kuhudumia wilaya zingine na mikoa jirani.
 
                              
                              
                            KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.