Kupata salary slip nenda kwenye link ya mfumo wa dirisha la watumishi (ESS) Dirisha la Watumishi au Salary Slip Portal ili uweze kujisajili, kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na Kitengo cha TEHAMA ili wakusaidie bila gharama yoyote.
Zingatia yafuatayo:
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.