Sunday 22nd, December 2024
@Uwanja wa Changarawe, Kayanga.
Mkuu wa Wilaya Karagwe, Mh. Godfrey Mheluka anayo furaha kubwa kuwajulisha wananchi wa Wilaya ya Karagwe na watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) atakapofanya ziara ya kikazi Wilayani Karagwe siku ya Jumapili, Oktoba 07, 2018.
Katika ziara yake Wilayani Karagwe, Mh. Waziri Mkuu anatarajiwa kutembelea Kitua cha Afya Kayanga, Kuzindua Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha KADERES na kuongea na wananchi katika Mkutano wa Hadhara Uwanja wa Changarawe, Kayanga.
Wote mnakaribishwa.
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.