Sunday 22nd, December 2024
@Karagwe.
Mhe. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh. Eng. Kundo Andrea Mathew (MB), atafanya ziara ya kikazi Wilayani Karagwe mnamo Tarehe 1/8/2021 ambapo pamoja na mambo mengine atatembelea miradi iliyotekelezwa chini ya ufadhili wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (USCAF), kukagua hali ya upatikani wa huduma za simu pamoja na usikivu wa matangazo ya redio wilayani Karagwe pamoja na kukagua utekelezaji wa mfumo wa anuani za makazi (Postikodi).
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.