Sunday 22nd, December 2024
@KDVTC
Ikiwa ni kutaka kujionea mwenyewe bila kutegemea kuletewa taarifa mezani, Mkuu wa mkoa wa Kagera, Mh. Meja Jenerali Charles Mbuge, Julai 9, 2021, akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Mh. Profesa Faustine Kamuzora pamoja na wajumbe wote wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa walifika wilayani Karagwe na kutembelea eneo tarajali kwa ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Kagera katika kijiji cha Rwambaizi.
Katika hali ya kuonesha kufurahishwa na mandhari ya eneo hilo pamoja na ukubwa wa eneo la ekari 57 zilizotengwa wa wananchi wa kijiji cha Rwambaizi kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo mkuu, Mh. Meja Jenerali Mbuge alionesha kufurahishwa na mapokeo ya wananchi wa kijiji hicho juu ya ujenzi wa maradi huo.
Wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kumsikiliza Mh. mkuu wa mkoa na ujumbe wake, katika eneo hilo la maradi tarajiwa, chini ya uongozi wa mwenyekiti wa kijiji hicho
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.