Sunday 22nd, December 2024
@Angaza
Mkutano maalum wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2019/2020 utafanyika tarehe 24/06/2021, katika Ukumbi wa Angaza ambapo mgeni rasmi katika mkutano huo anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mh. Meja Jenerali, Charles Mbuge.
Katika mkutano huo maalum jumla ya hoja 57 zitawasilishwa na kujadiliwa ambapo kati ya hoja hizo 57; hoja 33 ni mpya; yaani zile zilizotokana na ukaguzi uliofanywa kwa mwaka wa fedha 2019/2020, wakati hoja 24 ni hoja za miaka ya nyuma huku hoja nne (04) zikiwa ni maagizo ya kamati ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC).
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.