• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE NA UMMA KWA UJUMLA

25 May 2017

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

--------------------------------------------------

HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE



Simu:  028-2227148                                                                                                                                                                                                                                                                      S. L. P.  20,

Fax:     028-2227140                                                                                                                                                                                                                                                                     KARAGWE

E-mail:  innocent.mwalo@karagwedc.go.tz                                                                                                                                                                                                                                  24/05/2017.           

TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE NA UMMA KWA UJUMLA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hya Wilaya Karagwe, Godwin M. Kitonka anapenda  kuwaomba  watumishi na wananchi  wote wa Halmashauri ya Wilaya kwa ujumla  kuchangia mbio za mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani hapa mnamo  Agosti, 04, 2017.

 Ikiwa ni azimio lililofikiwa kwenye kikao cha kamati ya Mwenge  wa Uhuru kilichoketi mapema mwishoni mwa mwezi Aprili mwaka huu, kila Mkuu wa Idara katika Halmashauri hii anaombwa  kuchangia kiasi cha Tsh. 30,000/=  huku maafisa wengine wakiombwa kuchangia kiasi cha Tsh. 10,000/=  kila mmoja.

Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari pamoja na Waratibu Kata watapaswa kuchangia kiasi cha Tsh. 20,000/= kila mmoja.

Aidha, walimu wa shule za Sekondari, wahudumu na madereva wanaombwa kuchangia kiasi cha Tsh.5,000/= kila mmoja huku walimu wa shule za msingi wakitakiwa kuchangia kiasi cha Tsh. 3,000/= kila mmoja.

Hata hivyo, Afisa Biashara Wilaya anaagizwa  kukusanya michango kwa baadhi ya vyombo vya moto ambapo kila teksi inaombwa kulipa kiasi cha Tsh.5,000/= na kwa upande wa mabasi kila moja likitakiwa kuchangishwa kiasi cha Tsh.50,000/=

Kwa upande wao wafanya biashara wadogo wanaombwa kuchangia kiasi cha Tsh. 10,000/= kila mmoja.

Shule na Taasisi binafsi na wazabuni wote wanaombwa mchango wa kiasi cha Tsh. 50,000/= kila mmoja, huku shule za msingi na sekondari  za serikali zikiombwa kiasi cha Tsh.20,000/=

Ikimbukwe kuwa kila Mkuu wa Idara na yeyote alipewa jukumu hilo la ukusanyaji atapaswa kutoa taarifa ya ukusanyaji  katika kila kikao cha kamati ya mwenge kitakapokaa.

Inashauriwa kuwaelimsha wachangiaji kuona umuhimu wa kuchangia mchango huu kwani kwa mchango huu ni wa hiari.

Imetolewa na                 

Innocent E. Mwalo,

Afisa Habari,

Halashauri ya Wilaya,

Karagwe

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 09, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • TANGAZO KWA WANANCHI WOTE 01 March 14, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA UKUSANYAJI WA TAARIFA ZA ANWANI YA MAKAZI NA POSTIKODI HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE March 14, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UJENZI KITUO CHA AFYA KIBONA KUWANUFAISHA WANANCHI

    August 05, 2022
  • WADAU WA HUDUMA ZA AFYA WAKUTANA KARAGWE

    August 01, 2022
  • UHAMASISHAJI WA CHANJO YA UVIKO 19

    July 26, 2022
  • MADIWANI WAPONGEZA WATUMISHI

    July 28, 2022
  • Angalia zote

Video

KIKAO CHA WADAU WA UBIA WA USHIRIKIANO KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 0754653409

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.