Imewekwa: April 18th, 2024
Zaidi ya Mabinti 33,720 wenye miaka 9-14 wilayani Karagwe wanatarajia kupata chanjo ya HPV dhidi ya Saratani ya mlango wa Kizazi kupitia kampeni ya siku tano kuanzia april 22 mwaka huu.
Taarifa...
Imewekwa: April 10th, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya Mkono wa Eid-el-Fitr katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha TOSO kilichopo Mkoani Kagera Wilayani Karagwe.
Zawad...
Imewekwa: April 3rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Mhe: Julius Kalanga Laiser Amesikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Tarafa ya Nyakakika na kuzitatua papo hapo ambapo Mkutano huo umefanyika katika Kata ya Kibo...