Imewekwa: January 29th, 2021
Na Innocent E. Mwalo.
Kikao cha Baraza la Madiwani kilifanyika hivi karibuni kwa muda kwa siku mbili, kikiwa pia ni kikao cha kwanza cha kazi tangu kuchaguliwa kwa Baraza jipya mnamo Novemba 2020, ...
Imewekwa: January 27th, 2021
Na Innocent Mwalo.
Ukiwa ni mkakati wa kukabiliana na tatizo la utapiamulo wilayani hapa, Kamati ya Lishe ya Wilaya, mnamo tarehe 27/01/2021 imefanya kikao chake cha robo pili kwa mwaka wa Fedha 20...
Imewekwa: January 19th, 2021
Na Innocent Mwalo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mnamo 19/01/2021, amefanya ziara ya kikazi wilayani hapa ambapo pamoja na mambo mengine ameweka jiw...