Wafanyabiashara wameingia makubaliano na Halmashauri ya wilaya ya Karagwe ya kujenga maduka ya biashara katika eneo la kuzunguka stendi ya Kayanga.
Shule ya sekondari Bashungwa kuwa maalum. Mazingira yake yanafaa kwa wanafunzi wa bweni. Halmashauri kukamilisha miundombinu iliyosalia.
Shule ya sekondari ya Bugene imeahidi kushindana na shule binafsi ya Kemebos ya Bukoba iliyoshika nafasi ya kwanza katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2022
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.