Bw. Toba Nguvila, katibu tawala wa mkoa wa Kagera amewapongeza watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya karagwe. Pongezi hizo amezitoka katika kikao cha pamoja cha watumishi katika ukumbi wa Angaza.
Wajumbe wa baraza watetea wananchi wao katika kudai haki, Katibu Tawala wilaya ya Karagwe aweka mambo sawa
Kampuni ya 'KAHAMA FRESH LTD' imejipanga kuwainua kiuchumi wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Karagwe kupitia shughuli za ufugaji wa mifugo na mazao ya chakula cha mifugo.
S.L.P 20 KARAGWE
Anuani ya posta: S.L.P 20 KARAGWE
Simu: +255 (028) 2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwefc.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.