Wasimamizi wa vituo vya kutolea huduma za afya katika Halmashauri ya wilaya ya Karagwe, wamepatiwa mafunzo ya namna ya kutumia mfumo wa GoTHoMIS. Mafunzo hayo yameendeshwa na watalaam kutoka OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na watalaam wa kitengo cha TEHAMA na Uhusiano wa Halmashauri ya wilaya ya Karagwe.
Mafunzo hayo kwa vitendo yanatolewa kwa muda wa siku mbili katika vituo 12 vya kutolea huduma za afya.
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.