• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

HATI SAFI ISIWE BANGO LA KUTUPUMZISHA TUJITUME ZAIDI KUIDUMISHA - RC MWASSA.

Imewekwa: June 17th, 2025

HATI SAFI ISIWE BANGO LA KUTUPUMZISHA TUJITUME ZAIDI KUIDUMISHA - RC MWASSA.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Fatma Mwassa ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuidumisha hati safi waliopewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa kuongeza uwajibikaji, ufanisi na kuzingatia utekelezaji wa Mapendekezo wanayopewa na Wakaguzi badala ya kuifanya kuwa bango la  kupumzika.

RC Mwassa ameyasema hayo  leo tarehe 17 Juni, 2025  katika ukumbi wa Halmashauri  (Angaza) wakati akitoa pongezi za hati safi na salamu kwenye Mkutano wa Baraza Maalum la Madiwani lililokusudiwa kujadili hoja na maagizo ya CAG ya mwaka 2023/2024.

" Nawapongeza kwa kupata hati safi na kupunguza hoja za zamani lakini nawasihi tuweke maono ya kuondoa hoja zote kwasababu inawezekana. Tuzingatie utekelezaji wa mapendekezo  ikiwemo kutumia mifumo ya tehama katika utendaji kazi, Ufuatiliaji na usimamizi wa miradi na huduma kwa ufanisi na kuongeza uwajibikaji" Alisema RC Mwassa.

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Karagwe mhe.Julius  Kalanga Laizer amesema kuwa Halmashauri inajitahidi kupunguza madeni ya zamani  pia alitumia nafasi hiyo kusisitiza utengwaji wa bajeti ya kulipa madeni ili kufuta hoja zinazotokana na madeni.

Aidha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe mhe. Wallance Mashanda amesema kuwa, Halmashauri inaendelea kushughulikia mapendekezo ya hoja zilizobaki na baadhi zitafungwa baada ya ukaguzi wa mwaka 2024/2025 kwasababu zilishafanyiwa utekelezaji pia amewapongeza Watumishi kuendelea kudumisha upatikanaji wa hati safi kwa kufanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.

Kikao kilihitimishwa kwa wito kwa Watumishi katika masuala ya utumiaji mifumo kwenye manunuzi na taratibu nyingine zinazohitaji mifumo ya tehama, uombwaji wa fedha za miradi mapema ili miradi ianze mapema, pamoja na maandalizi ya mapema kwa ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HATI SAFI ISIWE BANGO LA KUTUPUMZISHA TUJITUME ZAIDI KUIDUMISHA - RC MWASSA.

    June 17, 2025
  • KARAGWE DC YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.

    June 16, 2025
  • PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

    June 13, 2025
  • WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.