• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DED MSANGA ASISITIZA NIDHAMU KWENYE MASHINDANO YA UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

Imewekwa: May 25th, 2025

DED MSANGA ASISITIZA NIDHAMU KWENYE MASHINDANO YA UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA. 


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi. Happiness Msanga amewasisitiza Wanafunzi waliochaguliwa kuiwakilisha Wilaya ya Karagwe kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) kuendeleza nidhamu walioonyesha kipindi chote cha maandalizi ya mashindano  hayo.

Bi.Happiness  ametoa wito huo  leo tarehe 25/05/2025 kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Kambarage wakati akiagana na Wanafunzi wanaokwenda kwenye Mashindano hayo yatakayofanyika Wilaya ya Muleba kuanzia kesho Mei 26 hadi 29, 2025.

" Mmekua na nidhamu kipindi chote cha maandalizi niwasihi muindeleze hata huko mnapokwenda kushindana kwasababu nidhamu ni moja ya silaha kubwa ya ushindi ambao ndio tunaoutarajia kutoka kwenu nendeni mkaitangaze Karagwe kwa mambo mema na nidhamu ya hali ya juu" Alisema Bi.Happiness.

Aidha, Bi. Happiness ametumia nafasi hiyo kuwataka Wanafunzi kutoa taarifa kwa Walimu na Walezi watakaokuwa nao  kwenye mashindano endapo wanapokumbana na changamoto yeyote hasa kuhusiana na mambo ya ukatili wa kijinsia.

Mashindano ya UMITASHUMTA Kitaifa yanatarajiwa kufanyika mkoa wa Iringa kuanzia tarehe Juni 07, 2025 hadi Juni 18,2025 yakiwa na kauli mbiu isemayo " Viongozi Bora ni Msingi wa Maendeleo ya Taaluma, Sanaa na Michezo. Shiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na Utulivu".

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HATI SAFI ISIWE BANGO LA KUTUPUMZISHA TUJITUME ZAIDI KUIDUMISHA - RC MWASSA.

    June 17, 2025
  • KARAGWE DC YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.

    June 16, 2025
  • PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

    June 13, 2025
  • WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.