• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DED MKOGA AKABIDHI OFISI RASMI

Imewekwa: August 21st, 2024

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Dr. Amon David Mkoga amekabidhi rasmi Ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi. Happines Joachim Msanga.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi mtendaji na kuudhuriwa naMakabidhiano hayo yamefanyika leo Agosti 21, 2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe: Wallece Mashanda diwani wa kata ya Nyaishozi, Katibu Tawala wa Wilaya Ndg: Rasul Eliud Shandala Pamoja na wakuu wa Divisheni na Vitengo.

Akizungumza kwenye makabidhiano hayo Dr. Amon David Mkoga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na kumteua tena kuiongoza Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.

Vilevile amewashukuru watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe: Wallece Mashanda, Katibu Tawala wa Wilaya Ndg: Rasul Eliud Shandala Pamoja na wakuu wa Divisheni na Vitengo kwa ushirikiano wao.

Aidha alitumia nafasi hiyo kumkaribisha Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi. Happines Joachim Msanga na kuwataka watumishi wa Halmshauri kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waweze kutimiza malengo ya serikali na kuwatumikia wananchi kwa ubora zaidi.

Nae Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi. Happines Joachim Msanga amewaomba watumishi wa Halmashauri wampe ushirikiano kama waliokua wanampa Mkurugenzi aliyeondoka ili tufanye kazi ya kumuheshimisha Rais na tufanye kazi kama timu, tujenge timu ya kazi tuleta maendeleo kwa wananchi, lakini amewasisitiza kufanya kazi kweli kweli na kwa ushirikiano mkubwa.

Akizungumza pia kwenye hafla hiyo ya makabidhiano Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mhe: Wallece Mashanda kwa niaba ya Baraza la Madiwani amemshukuru na kumtakia kheri kwenye majukumu mapya ya kazi Dr. amon Mkoga Mkurugenzi anayehamishiwa Wilaya ya Kwimba na kwa upande wa Mkurugenzi Bi. Happines Msanga amemsihi kuwapokee na kuwasikiliza wote watakaofika ofisini kwake na kutekeleza maombi na ushauri wao.

Aidha Katibu Tawala wa Wilaya ya Karagwe Ndg: Rasul Eliud Shandala amemkaribisha Mkurugenzi Mpya Bi. Happines Msanga kwa kumpongeza kuendelea kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kumpangia kituo chake kipya na kuahidi kumpa ushirikiano wa kutosha kati ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na hasa katika suala zima la uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAKETI KUJADILI UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE, KIPINDI CHA ROBO YA TATU 2024/2025.

    April 22, 2025
  • KUELEKEA MSIMU WA KAHAWA 2025/2026: MAAFISA UGANI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ILI KUWASAIDIA WANANCHI KUONGEZA THAMANI YA ZAO HILO.

    April 11, 2025
  • WALENGWA WA TASAF KARAGWE DC WANUFAIKA NA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA KIFEDHA WALIZOANZISHA.

    March 17, 2025
  • DC LAIZER AWATAKA WANAWAKE WA KARAGWE KUJIIMARISHA KIUCHUMI.

    March 08, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.