• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Kumhamisha Mwanafunzi wa Shule ya Msingi.

Kuhamisha Mwanafunzi wa shule ya Msingi

Ili kumhamisha mwanafunzi wa shule ya Msingi kutoka shule moja kwenda nyingine hatua zifuatazo zinapaswa kufuatwa na mzazi/mlezi:-

1. Mzazi/Mlezi atatakiwa kufika shule anayosoma mwanafunzi na kujaza fomu za uhamisho pamoja na kuchukua kadi ya maendeleo ya mwanafunzi ambayo pia sharti ijazwe na isainiwe.

2. Mzazi/Mlezi atawasilisha shuleni picha sita za pasipoti.

3. Fomu na kadi ya maendeleo ya Mwanafunzi zitasainiwa na mwalimu wa darasa, mwalimu Mkuu Msaidizi na mwalimu Mkuu. Baada ya fomu za uhamisho na kadi ya maendeleo ya mwanafunzi kusainiwa katika ngazi ya shule zitapelekwa kwa mratibu elimu Kata kusainiwa.

4. Baada ya fomu za uhamisho kusainiwa katika ngazi ya Kata itapelekwa na mzazi/mlezi katika ofisi ya afisa elimu wa Halmashauri kwa ajili ya kupitishwa na kusainiwa.

5. Fomu za uhamisho zilizosainiwa na afisa elimu zitapelekwa katika ngazi ya mkoa kupitishwa na kusainiwa an afisa elimu Mkoa. Baada ya kupitishwa na kusainiwa na afisa elimu mkoa fomu hizo zitapelekwa mkoa mwanafunzi anapohamia na kufuata utaratibu tajwa hapo juu isipokuwa kwa upande wa Mkoa mwanafunzi anapohamia taratibu zitaanzia ofisi ya afisa elimu aMkoa kushuka chini.

Angalizo:Ikiwa mwanafunzi anahama kutoka shule moja kwenda nyingine ndani ya Wilaya, taratibu za uhamisho zitaishia ofisi ya afisa elimu wa Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE NA UMMA KWA UJUMLA May 25, 2017
  • Ratiba ya Usafi wa Mazingira Karagwe June 08, 2017
  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari June 08, 2017
  • Tangazo la nafasi za kazi July 14, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE WILAYANI KARAGWE YAKUTANA, YAWEKA MIKAKATI MIZITO KUKABILIANA NA TATIZO LA UTAPIAMULO.

    January 27, 2021
  • RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYANI KARAGWE.

    January 19, 2021
  • WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WAENDELEA KUNUFAIKA NA MIKOPO ISIYOKUWA NA RIBA.

    January 11, 2021
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE YAIKABIDHI RASMI MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI CHUO CHA “KDVTC”.

    January 09, 2021
  • Angalia zote

Video

KIONGOZI BORA NI YUPI? | MWL. JK NYERERE
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.